DIAMOND PLATNUM NDANI YA MBEYA..


Maamuzi ya kikao,ni kufanya show na diamond  nyanda za juu kusini hasa mbeya,show hii inabidi ifanyike mwezi wa 10.kabla ya kukaa na diamond kukubaliana wameteuliwa wajumbe wawili Bi Getruda na Mr Chris John Chris kwenda mbeya kufanya mazungumzo na wadau wa burudani huko ili kupata mwelekeo wa kuandaa show hiyo.aidha mkurugenzi wa kampuni Ndg NGEZE amewasisitiza watendaji na wale watakao shiriki kuandaa,wandae show yenye kumuongezea hadhi diamond kwani sasa ni msani wa kimataifa..