Kilichoamriwa na AU baada ya Jeshi kushindwa kuongoza nchi


Burkina Faso IIUmoja wa Nchi za Afrika (AU) umetoa wiki mbili kwa jeshi kuachia madaraka baada ya kubainika kuwa jeshi halikufuata kanuni za katika kumtoa rais aliyekuwepo madarakani.
Jeshi la Burkina Faso lilishika nafasi ya kuongoza nchi baada ya rais aliyekuwepo madarakani kujiuzuru siku nne zilizopita baada ya kutokea machafuko makubwa.
Mkuu wa jeshi la nchio hiyo, Luteni Kanali Isaac Zida amesema wanafanya mkakati wa kuhakikisha inapatikana Serikali ya mpito kwa haraka kutokana na wananchi kuigomea Serikali ya kijeshi iliyopo madarakani.
Burkina Faso Pres.
Luteni Kanali Isaac Zida akisalimiana na wawakilishi wa AU.