YUNEDA COMPANY LIMITED
Watuhumiwa hao wameachiwa huru na Mahakama ya Kwale baada ya kukaa jela kwa zaidi ya wiki mbili kwa kosa la kufanya mkutano kinyume cha sheria.
Mwamnuadzi na wenzake walikamatwa oktoba15 huko Komabi ambapo walifunguliwa mashtaka kwa kosa la kufanya mkutano kinyume cha sheria ambapo washtakiwa walipinga kutenda kosa hilo.
Baada ya kusomewa mashtaka katika mahakama ya Kwale, washtakiwa walipelekwa gereza la shimo la Tewa, Novemba 3.
Kesi hiyo itasomwa tena Januari 12 mwaka 2015.
Continue Reading
Jeshi la Burkina Faso lilishika nafasi ya kuongoza nchi baada ya rais aliyekuwepo madarakani kujiuzuru siku nne zilizopita baada ya kutokea machafuko makubwa.
Mkuu wa jeshi la nchio hiyo, Luteni Kanali Isaac Zida amesema wanafanya mkakati wa kuhakikisha inapatikana Serikali ya mpito kwa haraka kutokana na wananchi kuigomea Serikali ya kijeshi iliyopo madarakani.
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo
pia
kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo.
Pole kaka yangu Chidi Benz,Naumia kuona tatizo uliokuwa nalo bado haujalitaftia jibu unalijua la kutatua tatizo lako,Mimi ni dada yako na tumeshafanya kazi Pamoja,Tatizo ulilonalo na Mimi nilishakuwa nalo na niliweza kulitatua sababu nilijitambua na kutafuta suluhu,nimejaribu kila njia kukushauri badala yake ukaja na rungu la kimasai na kunitandika nalo nyumbani kwangu!nadhani janga hili lililokukuta litakuwa Kama jibu kwako kwamba unakoenda si salama kabisa kaka yangu ni bora ubadilishe njia ili uweze kuungana nasi kwenye tiba ya Methadone kwani ndio Kiboko ya madawa ya kulevya!!!!Kama Mimi mwanamke nimeweza najua Hata wewe utaweza!!!!Tanzania bila madawa ya kulevya Inawezekana !!Watanzania tusimyanyapae Msanii wetu kwani Uteja ni ugonjwa Kama ugonjwa mwingine na Unazuilika na Kutibika,Ana kipaji na Ana uwezo wa kurudi tena kwenye Sanaa,Tumuombee mema.........Tanzania Stand Up n Wish Him Luck............With Love,Ray C Foundation.
![](https://pbs.twimg.com/media/B0dyEm6CAAAVMKw.jpg:large)
Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu akionyesha cheti chake cha kuazaliwa kilichowakilishwa kwenye mashindano ya Miss Tanzania 2014 kama kielelezo chake cha umri aliokua nao kinachoonyesha tarehe yake ya kuzaliwa kuwa ni 31 Mei 1991 wakati pasi yake ya kusafiria ianonyesha tarehe 31 Mei 1989 tarehe ambayo inaenda sambamba na leseni yake ya uendeshaji aliyokua akiitumia mji wa Dallas jimbo la Texas nchini Marekani ikiwemo fomu ya uhamijai aliyokua akijaza wakati akiingia nchini Marekani. Kwa kuangalia vigezo vyote hivyo utakubaliana na mimi Miss Tanzania wetu kadanganya umri.
Pasi ya kusafiria ya Sitti Mtemvu
Leseni ya uendeshaji jimbo la Texas nchini Marekani
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiRYDJ4Lw2yejpHNR0zmtgR8ITbHYxHwE4fuY9GjLA0FX3M5KhQ9dYYkUk7VdVzutjcH_co2_6PFwOTLlyAK5H_eHe8RrpD0zf1I4ZHq49ZXtjcko3J__3hqeW9KShkONherXVP-BkwX_k/s1600/unnamed+(30).jpg)
Fomu ya Uhamiaji
Subscribe to:
Posts (Atom)